nombre | Maneno quiz |
Categorí | Palabra |
Talla | 13.4MB |
Instalaciones | 2501 |
Desarrollador | kwifti |
puntaje | 6,0 |
fecha | |
Descargar | Descargar MOD APK |
Google play | ![]() |
información de modificación:
Maneno quiz
Maneno quiz Introducir :
* * *Maneno quiz* **
Maneno quiz – swahili game ni mchezo/game ya kiswahili ambayo unatengeneza neno la kiswahili kwa kuunganisha herufi za kiswahili ambazo zinaweza kuleta maana.
Tafuta maneno- swahili game ina maneno zaid ya 1000 ambayo ni sanifu na yapo katika kamusi sanifu ya kiswahili.
MANENO QUIZ – SWAHILI GAME
FEATURES
– Maneno quiz – swahili game unaweza kucheza bila yakuwa na data (offline)
– Maneno quiz – swahili game ina leader board ambayo inaweza kukuonyesha points za wenzako na mtu ambae anaongoza
– Maneno quiz – swahili game unaweza kushindana na wenzako na kuona points zao
-Maneno quiz – swahili game ni bure kucheza haihitaji malipo ili ucheze
– Maneno quiz – swahili game unaweza kutumia hints ambazo zitakusaidia endapo itakuwa umekwama
– Maneno quiz – swahili game imetumia maneno fasaha na sanifu ya kiswahili
– Maneno quiz – swahili game anaweza kucheza mtu mwnye umri wowote
– Maneno Quiz – swahili game imetengenezwa katika muonekano rahisi ili mtu yeyote aweze kutumia.
Maneno quiz Captura de pantalla :